Thursday, 7 December 2017

My brothers,

Death is not a small thing when it comes to young children, so many things occur in the brain's brain because they grow up asking themselves many questions that do not have the correct answers and they do not like to involve anyone.

This leads to a child's tendency to develop unpleasant behaviors to his guardians, such as contempt, self-denial, isolation, guilt, misconduct, poor conduct in class and sometimes engaging in unfair groups etc
If you have a sibling with your sibling or your child and you have grown up with such a character and know how to make it clear we can help the baby so that he can fulfill his dreams.

During this end of the year, take your time to visit Orphans or children, if they receive your comfort, God will bless you very much.

SAIDIA WATOTO WALIPOTEZA WAZAZI WAO

Ndugu zangu,
Kufiwa sio jambo dogo hasa linapowakuta watoto wadogo, kuna vitu vingi vinatokea katika ubongo wa mtoto kutokana na kuwa anakua anajiuliza maswali Mengi ambayo hana majibu sahihi na huwa hawapendi kumshirikisha mtu yeyote.
Hii hupelekea mtoto kuanza kuwa na tabia zisizo pendeza kwa walezi wake kama dharau, kibri, kujitenga, kuhisi anaonewa, ukorofi, kufanya vibaya darasani na wakati mwingine kujiingiza kwenye makundi yasiyo mazuri, n.k
Kama una ishi na mtoto wa Ndugu yako ama mwanao na Umekua ukiziona tabia za namna hiyo na ujui ufanyenini tafafhari tuwasiliane tuweze kumsaidia huyo mtoto ili aweze kutimiza ndoto zake.

Katika kipindi hiki cha kumaliza mwaka hebu chukua muda wako kutembelea watoto Yatima japo wapate faraja yako, Mungu atakubariki sana